Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
(Wapangaji Tatu Kwenye Compound)
💧Location :: GOBA NJIA NNE - NJIA YA MADALE
💧Bei :: 600,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (Kimoja Masta)
📍AC Kwenye Master na Masterbedroom
📍Sebule
📍Choo cha Public
📍Jiko zuri
📍Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
Call /Whatsapp