Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA NJIA NNE
💧Bei :: 350,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili( kimoja Masta)
📍Sebule kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko Kubwa
📍Feni
📍Fensi
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi
Call /Whatsapp
0719523533
0748887892
0689590210