Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT YA KIFAMILIA INAPANGISHWA GOBA SIMBA OIL MITA 700 TOKA LAMI. YA JUU NDIO IPO WAZI
__
Vyumba 2 vya kulala, kimoja master
Sebule
Jiko open kitchen
Store
Parking
Maji na Umeme mita yako
Ac
Hapa mpo 2 tu, hii ya juu ndio ipo wazi
Choo cha familia
Barcon
Fensi ya umeme
Ulinzi upo
__
Kodi 800,000/= × 6
Dalali mwezi 1
Kuona site 20 elf
__
#0714335450
#0714335450
#0714335450
__
PIGA SIMU CHAP


















