Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
(KWENYE COMPOUND WANNE)
💧Location :: GOBA KWA AWADHI - KARIBU NA BARABARA
💧Bei :: 600,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (HAINA Masta)
📍Sebule
📍Ac Inafungwa kwote (Sebuleni na vyumba vyote)
📍Choo cha Public
📍Jiko zuri lenye Makabati
📍Electric Fence
📍CCTV Camera
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0652251725
Call /Whatsapp