Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
Apartment Inapangishwa:
(Zipo nne Tu kwenye fensi)
Location :: Goba njia nne
Bei yake :: 650,000Tsh kwa mwezi (Miezi 3)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (Kimoja Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Remote Gate
🌡️Electric Fenc
🌡Service charge 20,000/=
Call/Whatsapp;
0782 724 115