Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam







🇹🇿Apartment Classic For Rent
Zipo 2 Kwenye Fence
Location : Goba Center
Price: 800,000
✔️Sebule Kubwa Sana
✔️Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
✔️Chumba Kimoja Master
✔️Jiko Kubwa la Kisasa
✔️Choo cha wageni
✔️Fans & Air Conditions
✔️Paving Blocks
✔️Fenced
✔️Slide Gate
✔️Electric Fence
✔️Good Environment 👍
Call/Whatsapp;
0688 067 289