Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


#GOBA_KWA ROBART DK 2
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA NDANI ZURI LENYE MAKABATI NA PIA NDUGU MTEJA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
💥ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI SANA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 400,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO GOBA KWA ROBART KUTOKA GOBA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 2 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
0712656027