Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
Apartment Inapangishwa:
(Zipo Mbili Tu kwenye Fence)
Location :: Goba Njia Nne
Bei yake :: 600,000Tsh Kwa Mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (Kimoja Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans & Air Conditions
🌡️Paving Blocks
🌡️Fenced
🌡️Cctv Cameras
🌡️Remote Gate
🌡️Electric Fence
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp