Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
#VYUMBA_VIWILI
APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-GOBA LASTANZA (karibu kabisa na barabarani)
______________
KODI TSHS LAKI 600,000/=KWA MWEZI
_________________
MALIPO YA KUANZIA MIEZI 4
________________
________
APART NZURI YA KISASA
_____________
YA KIFAMILIA
_______
YENYE:-
Vyumba Viwili vya kulala #Sebule #Jiko zuri lenye #Makabati
#Gypsum #Tiles #aluminium #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje #Pavingblocks
#FencedApart
____________
____________
PAMOJA NA MALIPO YA DALALI MWEZI 1
__
#0652472014
#0754344786
___
PIGA SIMUUUU