Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Igawilo, Mbeya


Apartment inapangishwa
Vyumba viwili vya kulala kimoja master bedroom na sebule jiko
Umeme na maji inajitegemea
Location igawilo
Distance dakika mbili kutoka lami
Bei 220k kwa mwezi Included mtu wa usafi wa nje
Malipo miezi sita
0742941423











