Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kariakoo, Dar Es Salaam


Hii apartment ni mpyaaaaaa
Ipo kariakoo mtaa
WA tulivu ni chumba master bedroom sebule jiko choo
Ni full fanish vitu unawekewa
Inapangishwa dollar 300
Kwa mwezi Kodi MIEZI 6
HAPO KUNA APARTMENT ipo floor ya 7 inavyumba viwili kimoja ni master sebule jiko choo Cha pablic ni full fanish inapangishwa dollar 600 Kodi MIEZI 6
Nyumba ni mpyaa lifth ipo
For more information call
0745834253/0615382085
Kupelekwa kuona/service charge 20k
Agent commission for one month apply