Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kati, Arusha


APARTMENT INAPANGISHWA
KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI 20/12/2024
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO OPEN KITCHEN KABATI
#PUBLIC TOILET NZURI 🚻
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI 24HRS
#TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
# NYUMBA ZIPO NDANI YA FENCE PARKING IPO
LOCATION: KIMARA BUCHA
DISTANCE: DAKIKA 4 TU KUTOKA MWENDOKASI
KODI 300,000 × 6
SERVICE CHARGE 15,000/=
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp