Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibaha, Pwani


Apartment Inapangishwa:
(Zipo nne Tu kwenye fensi)
Location :: KIBAHA MAIL MOJA
Bei yake :: 300,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (Kimoja Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans & Air Conditions
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Cctv Cameras
🌡️Remote Gate
🌡️Electric Fence
PIA KUNA CHUMBA SEBULE JIKO CHOO BEI 200,000
Call/Whatsapp;
0762089247