Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibaha, Pwani


APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
IMEBAKI MOJA TU
UMBALI KM2. 5
MAHAL KIBAHA MAILIMOJA
MUUNDO WA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE
DINNING ROOM
JIKO LENYE MAKABATI
CHOO CHA PUBLIC
AIR CONDITION
CCTV CAMERA
ELECTRICAL FENS
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
GARDEN
CAR PARKING
BEI 300000x6
☎️ #0757208653
Services charge 15000/=