Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT Classic For Rent ✨️
Zipo 2 Kwenye Fence
Ya Chini Ndiyo Ipo Wazi TAYARI
Location: KIBAMBA CHAMA
Distance: Dakika 5 Kwa Kutembea Tu 🚶
Price: 450,000 × 4
✔️Sebule Kubwa Sana
✔️Dinning Room
✔️Vyumba VIWILI Vikubwa
✔️Vyote Master Bedrooms
✔️Kitchen With Cabinet
✔️Public Toilet 🚻
✔️Parking Space Available 🚗
✔️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✔️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Good Environment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp