Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
MAHAL KIBAMBA SHULE #300
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom
sebule kubwa
jiko na
public toilet
Bei:300,000 Kwa mwezi × 6
Umbali km 1.4 Bajaji zipo inakuacha mlangoni
Apartments zipo 3 kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Ndani ya fence parking nikubwa
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
☎️ #0757208653