Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA KIBAMBA #300k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 300,000 Kwa mwezi × 6
Umbali Dakika 5 kutoka lami
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Wahi bado moja Tu
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347