Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA KABISA INAPANGISHWA
KIBAMBA SHULE
#300k
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms sebule kubwa Sana jiko kubwa la kisasa na public toilet
Kodi 300,000 Kwa mwezi × 6
Umbali km 3 Usafiri bodaboda 1500
Ndani ya fence parking kubwa, inajitegemea umeme na maji full AC
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
PIGA SIMU NDUGU MTEJA:: 0672 673363