Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #250K
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 250,000 Kwa mwezi × 3
Umbali Dakika 12 Kwa mguu
Ndani ya fence parking IPO
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
SIMU
0712656027