Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #300k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 300,000 Kwa mwezi × 6
Umbali ni km 2 barabara nilami mpaka site, Bajaji zipo
Ndani ya fence zipo 4 kila apartment inajitegemea umeme na maji parking yakutosha
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167