Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA
Mahal KIBAMBA GOGONI
Vyumba 2 vya kulala
sebule jiko na public toilet
Kodi 220,000 Kwa mwezi × 4
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni,ndani ya fence parking IPO
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15