Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA GOGONI 250k
Vyumba 2 vya kulala sebule jiko na public toilet
Kodi 250,000 Kwa mwezi Γ 6
Dakika 10 Kwa mguu toka kituoni, Lami mpaka nyumbani
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni,ndani ya fence parking IPO
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Malipo ya DALALI mwezi mmoja
Contact π²
0679447338
0753454167



















