Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







0679 997610
Apartment ya vyumba viwilli (450,000) #KIBAMBA_MLOGANZILA
APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA
LOCATION KIBAMBA NJIA YA MLOGANZILA
UMBALI DAKIKA 2 KWA MIGUU UPO KWENYE NYUMBA
KODI 450,000 × 6
NI VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA SANA JIKO FULL MAKABATI NA TOILET PUBLIC YA NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANATILILIKA NDAN MASAA 24
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI USALAMA UPO WA KUTOSHA
KUNA MLINZI GETIN AMESHIKA MTUTU
NA CCTV CAMERAS 📸
BARABARA NIRAFIKI SANA KWAGALI YACHINI HAKUNA SHIDA KABISA
Service charge ni shilingi 20,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0679 997610