Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA
Location: KIBAMBA GOGONI #2200K
===
Sebule Kubwa Sana
Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
Jiko Kubwa
Public Toilet Nzuri 🚻
==
Kodi 220,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali dakika 10 Tu Kwa mguu toka kituoni
===
Ndani ya fence, Parking kubwa, kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp