Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA GOGONI 220k
Vyumba 2 vya kulala sebule jiko na public toilet
Kodi 220,000 Kwa mwezi × 4
Dakika 10 Kwa mguu toka kituoni, Lami mpaka nyumbani
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni,ndani ya fence parking IPO
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
PIGA SIMU 0789049684