Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam


📣 Apartment ya Kisasa Inapangishwa KIJITONYAMA
📍 Kodi ni Tshs 750,000/= *6
_____
_________
• Vyumba 2 vya kulala (Kimojawapo ni Master)
• Sebule
• Jiko
• Public toilet
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Parking
* Ndani ya Fensi
* Paving Blocks
* Maji Ndani
_______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tshs 750,000/=
#Kupelekwa Kuona ni 20,000/=
№: 0753 172 516