Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kiluvya, Pwani





APARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi: 200,000 Kwa mwezi × 3
Chumba cha kulala sebule jiko na public toilet
Kodi 150,000 Kwa mwezi × 3
Kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Haina fence lakn usalama wakutosha
Umbali KM 1.5 Usafiri bodaboda 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167