Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI SANA ZINAPANGISHWA
Location: KIMARA TEMBONI
Distance: KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Boda 1000
SEBULE KUBWA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
JIKO KUBWA ZURI
PUBLIC TOILET NZURI 🚻
TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
ZIPO NDANI YA FENCE
FULL PAVING BLOCKS 🚫
ZINAJITEGEMEA UMEME Na MAJI
KODI 350,000 × 6
KUONA NYUMBA 15,000/=
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp