Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(300,000X6)KIMARA MWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 +1 KIMOJA NJE=3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET NJE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
FENSI IPO USALAMA UPO WA KUTOSHA
BEI NI 300,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHOUPANDE WA KUSHOTO UKITOKA MJINI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024