Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT #INAPANGISHWA
📍Kimara Korogwe
🕓Umbali wa kutoka stand ya mwendo kasi km 1 usafili bajaji 500 ukishuka unatembea dakika 5 bodaboda 1000 mpaka getini
#SIFAZAKE
🔹Vyumba viwili, Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Choo cha familia
🔹Umeme submiter & Maji Inajitegemea
🔹Fence & Parking Kubwa
🔸Kodi Tsh 250,000/=×6(Miezi Sita)
🔸Malipo ya Dalali Tsh 250,000/=
🔸Service Charge Tsh 15, 000/=
#Piga_simu👇
0712528820
0685221354
# 📞 &Whatsapp
#please #Follow us,🙏
Karibu Sana Mteja😁