Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA STOP OVER
===
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom
Sebule
Choo ndani public
Jiko
Bei:300,000 Kwa mwezi × 6
===
Kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Umbali KM 1 Usafiri bodaboda 1000, kama huna haraka unatembea
===
Ndani ya fence parking IPO
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 . Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087