Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA YA JUU IKO WAZI FUNGUO INAKUJA JUMAMOSI KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS ZINAWEKWA FENSI PARKING KUBWA SANA ULINZI NI WA KUTOSHA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#HITER MAJI MOTO
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 12 AU 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#0710614924
#0688653940