Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NAFAULISHA, NAFAULISHA
NAFAULISHA MTEJA WANGU HAPA
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 2.5
USAFIRI WA BAJAJI 700
UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 1 UMEFIKA
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO
PUBLIC TOILET
UMEMEMITA YAKE
MAJI YA BILI DAWASA
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE
UWANJANI PAVING BLOCK
KODI 200,000 X 4,5,6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI