Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#300X6 WASWAILI WANASEMA CHELEWA CHELEWA UTAKUTA MWANA SII WAKO
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA DK 5 MPKA 7 TU KWA MIGUU UPO NYUMBAN
SIFA ZAKE
=========
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA KIMOJA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA CHIN ZEGE SAFI MAZINGIRA MAZUR NA TULIVU WAPANGAJI 3 TU KWENYE FENSI
KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDAN
#SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
#CONTACT
#0742260844
#0657384670