Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







๐ APARTMENT KIMARA BUCHA INAPANGISHWA
๐ฃLOCATION: KIMARA BUCHA
DK 8 TOKA MAIN ROAD.
๐ฐKODI NI 350,000ร6
NYUMBA YA VYUMBA VIWILI VYA KULL K1 NI MASTA, SEBULE JIKO NA CHOO CHA PUBLIC NDANI
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASCO MITA YA MAJI SHARE W2 NA YANATOKA NDAN.
IPO NDANI YA FENC
ZIPO APARTMENT 2 NDANI Y COMPOUND 1
KWA KUTEMBEA DAKIKA 8.
KARIBUNI
#0625606710 au 0783794666