Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(500,000X6)KIMARA KOROGWE DK 3 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD 
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 25/06/2025 KUONA MALIPO RUKSA DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI 
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2VIWILI VYA KULALA 
#CHUMBA KIMOJA MASTER 
#JIKO LENYE KABATI 
#CHOO KIZURI CHA FAMILIA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI BUSTANI SAFI PARKING YA KUTOSHA
#LUKU INAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI 
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI 
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15 
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI 
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024



















