Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(350,000 ร 6) ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ง๐๐ ๐๐ข๐ก๐
APARTMENTS TATU NDANI YA FENCE KILA MTU ANAJITEGEMEA NA KILA KITU NA RESEVE TANK YA MAJI LITA 2000
๐ฅ NYUMBA HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#ZIPO APARTMENT 3 NDANI NA ZOTE ZINAPANGISHWA LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI NA APARTMENT
#PARKING KUBWA
#PAVING
APARTMENT ZOTE 3 INAPANGISHWA LAKI NA NUSU KWA MWEZI
๐น๐ฟ NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI
NJIA ILIYOWEKWA LAMI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 500
BEI NI LAKI TATU NA NUSU 350,000 x 6 KODI MIEZI 6
๐น๐ฟ APARTMENT HIZI ZIPO MTAA MZURI SANA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300