Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI MAFUNDI WAPO KAZINI KURUDIA RANGI NJE NA NDANI JIKONI KUNAWEKWA MAKABATI
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#JIKO KUBWA OPERN KITCHEN KUNAWEKWA MAKABATI
#CHOO CHA NDANI
#HAKUNA MASTER
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA MAZINGIRA MAZURI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 TU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
##0655256419