Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW APARTMENT CLASSIC FOR RENT
LOCATION: KIMARA MWISHO
DISTANCE: DAKIKA 4 KWA KUTEMBEA TU 🚶🚶
KUTOKA STAND KIMARA MWISHO KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
✅️Sebule Kubwa
✅️Dinning Room
✅️Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
✅️Vyumba Vyote Ni Master
✅️Jiko Kubwa Zuri
✅️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✅️Maji Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✅️Reserve TANK
✅️Fenced
✅️Parking Space Kubwa 🚗
✅️Good Environment 👍
Ipo Kwenye Hatuwa Za Mwisho
MAFUNDI WAPO KAZINI SPEED 5G
KODI 500,000 × 4
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp