Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA SUKA
Vyumba 2 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
๐ฐKodi 250,000 kwa mwezi ร6
AU
270,000 Kwa mwezi ร 4
Umbali dakika 7 Tu Kwa mguu toka kituoni
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
#0625606710