Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA TEMBONI
KODI 150,000X6
UMBALI KM 1.5
BAJAJI 700
BODA 1000 ADI MLANGON
SIFA YA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA NA JIKO LA NDANI NA TOILET PUBLIC YA NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI NA PIA YANAFLOW NDANI
NDUGU MTEJA NYUMBA AIPO KWENYE FENC GARI INAFIKA ADI KWENYE NYUMBA USALAMA UPO WA KUTOSHA
KUPELEKWA KWENDA KUONA NYUMBA SERVICES 15.000
NA BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI