Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#KODI (450,000X3) MPYAA APARTMENT CLASSIC FOR RENT
➖➖➖➖➖➖➖
MIEZI MITATU UTAMALIZIA MWISHO WA MWEZI WA NNE
#Location kimara Mwisho ipo umbali dk 4 kutoka Kituon mwendo kasi,
#IMEBAKIMOJACHINI
muundo
✔️VYUMBA VIWILI WASTANI
✔️KIMOJA MASTER
✔️SEBULE WASTANI
✔️JIKO
✔️ CHOO CHA PUBLIC NDANI
✔️NDANI YA FENCE
✔️NYUMBA MPYA
#Fence get,
#Parking space
#Peveng block
#garden
KUPELEKWA SITE ELF 15
Contact
0716223412
0683597453