Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA MEISHO
KM 1 TOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI WA BAJAJ UPO 24 HRS
BEI NI 250,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 KIMOJA NI MASTER
SEBLE KUBWA YA KUJIACHIA
JIKO KUBWA NZURI LA KISASA
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
IPO NDANI YA FENCE YA WAYA
NOTR
SERVICE CHARGE 15,000/=
MALIPO YA DALALI MWEZI 1
CONTACT US
0713661530_0783661530