Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
MABADILIKO YA BEI KIDOGO NJOO NA 180X6 AU 200X3
KODI NI 180,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA AU 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MITATU (3)
.
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
.
IPO KIMARA KOROGWE KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500 AU BODA ELFU 1500
.
SIFA ZAKE
=========
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI NA PUBLIC TOILET NZUR YA NJE YA KWAKO MWENYEWE
.
IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE HAKUNA GARI INAFIKA MPKA GETIN
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT 0656623510
WSP 0752436347