Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI SANA IPO KIMARA TEMBONI UMBALI WA DK 7 KWA MGUU
NI APARTIMENT KALI SANA
INAPANGISHWA
KODI 250,000/=X6
KWA MWEZI ILIPWE MIEZ 6
======{
SIFA ZA NYUMBA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA SEBULE KUBWA SANA
CHOO NI PABLIC HAINA MASTA
JIKO OPEN KITCHEN
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO NDANI YA FENSI USALAMA WA KUTOSHA FULUU PEVING
GETI KUBWA PAKING KUBWA
BARABRA RAFIKI YA MAGARI
BEI. 250,000X6
ILIPWE MIEZ 6
=======
CONT
0683234124
0718367179