Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
KODI 350K APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO SEHEMU NZURI INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/08/2024
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 350,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥NOTE: ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/08/2024 KUONA NDANI ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
CONTACT 0712474756