Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🏠APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 12 KWA MIGUU
🛣LOCATION:
KIMARA TEMBONI/ PIA UNAWEZA KUPITIA KWA MSUGURI NJIA ZOTE ZINATUMIKA
SIFA ZAKE:
>VYUMBA 2 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
>SEBULE KUBWA
>JIKO ZURI LENYEMAKABATI KUBWA
>PUBLIC TOILET NDANI
ZIPO TATU NDANI YA YA
HII MOJA NDIO ITAKUWA WAZI
UMEME LUKU YAKE
MAJI MITA YAKE
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
💰KODI 400,000 X 6
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
ITAKUWA WAZI TAREHE 24/3/2025
KULIPIA RUKSA
#0625606710