Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(400,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗢𝗥𝗢𝗚𝗪𝗘
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI IZO MOJA IPO WAZI #BEI 400K
#VYUMBA 2 VYA KULALA SIO VIKUBWA
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 2 - 3 KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝗮𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300