Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA IPO KIMARA MWISHO INAPANGISHWA BEI NI 380,000/= X 6
๐ฅ ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 25/03/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KATI YA HIVYO KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 380,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA NA UKISHUKA TUU KWENYE USAFIRI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT
0742260844
0657384670