Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI #BEI 350K
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO
#CHOO CHA WAGENI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA STOP OVER DK 4 TU KUTOKA MAIN ROAD
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
NOTE ELA YA DALALI KODI YA MWEZ MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SERVICE CHARGE 15000
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA
O627977383